Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikakumbuka ile ya "nimemmiss mtu, anajijua"
Unakuwa umeua ndege 9 kwa jiwe moja.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ah usirudie tena kuniuliza maswali yale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati nzuri hakuna ushahidi kuwa umefuta Mara 2 ulichokiandika hapo awali. Nafurahi kusikia mwanzo wa mapumziko yako ya mwisho wa wiki yameanza na furaha.
Nimeisave, hapa nipo kuja kukuomba hilo sweta. Nimeshalijaribisha limenitosha.

Asante sana[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…