Yule dogo na kapu zake basi anajiona yeye wa kwanza kufua pazia duniani
Watoto wanaochipukia Hawa muwavumilie jamani...🤣
Hutaona haya mambo Kwa wakongwe akina boss ledi
Bado hereni za makapu , magodauni na mapazia... Anaeuwa ni Mjep ndio mwisho wa yote hata kama ulikua unaandika story za makapu unastop kwanza anajua kutufunga midomo kisaikolojia😂🤣🤣🤣!!