Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi huwa mnaenda location unamlipia then unapiga picha. It means na photographer unamlipa pia akufuate location, au?
 
Na location panakutoa vizuri mnoo!!
 
Unapambana sanaπŸ˜…
Hiyo bembea iko wapi na me niende
 
We coca tukikaa pamoja ni tatizo,tunafanana kwenye hii hobby aisee![emoji3]
Kesho naenda zangu location na nguo kadhaa,nipige picha mpk basi
 
Ila ukifuga mbona nywele unazo jamani. Hao aunts zao Kila wanachoambiwa kupaka wanapaka, ila nywele zimewagomea kabisa
 
Hivi huwa mnaenda location unamlipia then unapiga picha. It means na photographer unamlipa pia akufuate location, au?
Unalipia location, na unamlipa photographer yes. Sema huyu miw nishakua mteja wake sana, ko huwa sometimes ananifanyia fair tyuuh.

Km anakufata yeye ulipo kuna gharama utatakiwa kulipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…