Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante mkuu

muwaheshimu na kuwapenda sana mama zenu kwakweli!
Nafikiri mtu anae kuzaliwa wa kumuheshimu sana ( kwa ufupi mwanamke yoyote wa kuheshimiwa sana awe amekuzaa au hajakuzaa ) wanapitia mengi , kwa ambao tupo sensitive hizi story zenu kama maumivu nayaona mwilini mwangu. Hadi nime skip 🤦‍♂️.. wengine tukiona mtu anapigwa sindano au ana maumivu , inakuwa akama yanahamia kwangu najikuta na feel the same na muhusika
 
Kabisa mkuu! Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…