Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah
mamaangu ukimkera utasikia kwanza na babaako tulikuwa hatuna mpango wa kukuzaa tulikuwa kwenye starehe ulikuja kwa kiherehere chako mshenzi wew[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ndio huwa namwambia mama kuwa hivi ungeahirisha kunizaa sijui ingekuwaje!mama anacheka.
Maana mimi ni mtoto wa uzeeni aisee
 
Chango lingemsumbua mno[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio ukweli..

Usipo pumzika cha moto utakiona...
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.

Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]
 
Mdogowangu akiharibu sasa [emoji16]
Huyu nae tulipangilia kabisa lkn tumekoma ndo Kaja na magubu ya ukoo mzima[emoji23][emoji23]karithi Hadi kapitiliza mtoto anagubu huyo mkeo ukioa akija kuleta kesi namrudisha mm kwao hakuwezi kwa gubu ilo la ukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa coca namzaa kabisa ,kwanza aanze kuniita mama sio shangazi tena[emoji2][emoji2]
Kuweni na adabu nyie watu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee mie nakuzaaa huku nimesimama,. Yaan napush na kumdaka mtoto mwenyewe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji24][emoji24]Kuna mdada mtoto ana mwaka na miez ana mimba nyingine wamemwambia hivo nae nikimuona najisikiaga kulia anatia huruma yaani na op ya kwanza ilimsumbua

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…