Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] square nilikuwa naenda kupaka rangi na kupiga photoshoot za jero jero.

Ila zamani maisha yalikuwa rahisi sana
Mitumba ya miatano Tano yaani
Natamani tu nirudi shule Mimi[emoji19]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usije siku kulia
Weeeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
 

Mimi kusema kweli coffee scrub sijawahi kufanya wala kutengeneza...

Mimi nina uso wa mafuta pia ...

Nikishanawa uso natumia cleanser ile ya eskinol baada ya hapo kama ni asubuhi natumia vitamin c serum na sunscreen nimemaliza...

Usiku cleanser,moisturizer na retin a sema imeniishia sasahivi ,chunusi zinatokea mara chache sana tena mbili tatu basi

Tafuta hiyo eskinol nzuri sana mimi naitumia toka niko binti halafu bei ya kawaida sana chukua ya lemon ndio nzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…