Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh
Utadhani najua sasa rangi [emoji1787]

Wa ushuani hatuna shida na rangi..hata tukiweka za CCM zinakaa tu.
Shida ni vile Vistoo vyenu vinachagua rangi mno na Kuta zenu za rangi mbili kama wa Heaven Sent [emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Rangi mbili Kama shule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣emu tuache.

Ndio maana Lenie amesema tutaja pewa mineno…
 
Bomba dabo halafu dirisha kama zote.
Kudadeq badilisheni tu pazia..Mimi nikibadilisha sana za vyumbani zinaenda sebuleni,za sebuleni vyumbani nishamaliza kazi[emoji2096]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunamuangalia tu mtoto wa juzi huyu alikuwa anakatika Nyerere square hana hata nusu pazia.
😂😂😂😂😂 square nilikuwa naenda kupaka rangi na kupiga photoshoot za jero jero.

Ila zamani maisha yalikuwa rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…