Selfika na JF: Snap it. Show it

Na akupuuze nikucheke [emoji23]
Asipokuja ujue hajaona notification
Watu wa ushuani hatuna tabia za kigodauni za kupuuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
 
Asipokuja ujue hajaona notification
Watu wa ushuani hatuna tabia za kigodauni za kupuuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Emoj 2096

😂😂😂😂😂 emu niwache… ndio ushapuuzwa hivyo
 
Una hela kwanza? Au tu unataka ukazunguke umo kkoo mpaka wakuibe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakayeniiba ana hasara [emoji1787]..atachukua nini sasa na kilo zenyewe Sina.


Siku hizi kkoo yote ipo kiganjani ..najua mitaa yote.
Nilikuwa nashinda huko kuuza karanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyeusi huu wanga sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatupia tu,kunakuwa kama chumba cha mganga wa jadi
 
Sio pazia zote zinakua 3 ktk set 1, zipo za 2 pia.

Ndo maana nilikuambia mie kwa mwaka natumia pazia 1, yaan mwaka mzima natumia hizo tyuuh, nikifua hizi naweka zingne km zile zile.

Siwezi toa cream, naweka blue, hapana.


But nwei, tuache hayo dada mzuri. Usichukulie serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…