Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeoga kwanza ulivyoamka 🀣🀣 au mpaka tukufundishe?

Dah! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila mnaniua mbavu
Aisee.
Watu wa stoo ndio huwaga mnawaza kuoga kwenye maji ya makopo na ndooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bafu lipo kama duka unadhani tutaachaje kuoga?
Yule dada mbingu ataisikia
 
Zina kazi moja so unatumia tu mojawapo
Kwa Dar huwa zinapatikana maduka Gani?
Mafuta Gani mengine mazuri Kwa nywele fupi ngumu??
Na shampoo Gani ni nzuri?

Niliwaza kutafuta pasi ila Kuna mtu akaniambia inakata nywele.
 
Aisee.
Watu wa stoo ndio huwaga mnawaza kuoga kwenye maji ya makopo na ndooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bafu lipo kama duka unadhani tutaachaje kuoga?
Yule dada mbingu ataisikia
Raha sana kuoga na kopo… imagine unaamka unaenda kuanika maji juaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Endelea kumuigizia unatusema na wewe mbingu utaisikia 🀣
 

Baadae simama tuone mshono vizuri please

Kiatu ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…