Binafs kwa huku nakoishi wapo lkn nisiseme uongo sijawahi chunguza sabbu ni ipi huenda wanawake wakawa ni sabbu
Lkn pia haimfanyi umpige had azimie kunanamna nyingi za kurekebishana..
Mapenz yamekuwa hayana mvuto na kikubwa heshima hakuna kwa pande zote hakuna heshima kwa mwanaume kwa mwanamkewake na mwanamke Hana heshima kwa mwanaume wake
Hakunatena kukosoana kwa adabu hakuna usiri hakuna kusikilizana Wala kubembelezana
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app