Happy mother's Day kwenu wakina mama shupavu na jasiri mlioweza kulea watoto wenu vyema na kwa upendo, MUNGU awabariki sanaa.
Hongereni pia wake zetu mlio tulelea watoto wetu na mnaendelea kuwalea kwa upendo na malezi bora, mbarikiwe mpaka mshangae.
Tunawapenda sanaaaa.
Hii siku yenu ikawe njema na mkaifurahie View attachment 2216194
Ila mahusiano yenye masekeseke yana dumu sana na upendo unakuaga real sana chunguzaKuna msichana mmoja alinipiga ngumi, sijui ni ngumi ile sijui ni kitu gani, alinipiga usoni miwani ikavunjika, daaahhh, aisee nilikunja ngumi kwanza iliyoshiba, nikaivuta nyuma huku nimemshika nguo kifuani, yaani nilivuta ile ngumi iliishia hewani anaiangalia sikumpiga, huku nikiwa na hasira sana, niliondoka machozi yakinilenga kwa ile hasira.
Kuna wanawake huwa wanajaribu kukufanya uwapige au uwatukane muanze kutukanana na hii inasababishwa na baadhi yao wanatokea kwenye mahusiano ya namna hii, unakuta watu waliokuwa nae au familia anayotokea kuna mambo hayo.
niliondoka hatukuonana kwa siku kama 4, hakuwahi kunitukana wala kujaribu kunipiga, nilimfundisha mapenzi sio ngumi wala kutukanana..
Mkuu we acha tu mahusiano yapo very complicated usizungumzie upande mmoja tu.
imekaa sekunde tu kafutawee acha utani rudia bana unawekaje sekunde unafuta jaman🙄! Sijaona boss rudiaaa.......
Miss u, twende kusali.Ila mahusiano yenye masekeseke yana dumu sana na upendo unakuaga real sana chunguza
Umeongea vyema comradeUlishaona wangapi madikteta?
Nina marafiki wengi Wasukuma nawajua in and out na ni mifano mizuri sana katika ndoa zenye amani na maelewano. Mimi mwenyewe na miaka yangu hii 76 sijawahi hata kumfinya mwanamke na hata maeksi zangu wote tuliachana kwa upendo na amani sana; na mpaka leo baadhi yao bado tunasadiana katika ishu za hapa na pale.
Wasukuma wababe nadhani ni kizazi cha baba zetu kinachomaliza muda wake hiki. Hawa vijana wa sasa wengi angalau wamesoma na kidogo wanajua mambo. Labda tatizo ni nyinyi mabinti wa kisasa wasomi ambao hata hamjui nafasi ya mwanamke na mwanaume ni ipi katika nyumba. Full uanaharakati na kudai usawa uliopitiliza kimo. Usawa wenyewe hata mkipewa bado unawashinda. It is like you want to eat your cake and have it too. Na hii ndo sababu kuu wengi wenu hamuolewi sababu ya uanaharakati, usomi na kujifanya mnajua kila kitu. Hata mkiolewa mnaachika kwa sababu hamuwezi kuheshimu majukumu ya mume katika nyumba na kutimiza majukumu yenu kama wake.
Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mwenye mutual respect na anayejua wajibu na majukumu yake na ya mume ndani ya nyumba; na kuyaheshimu.
Kizazi chenu hiki kimevurugwa ndo maana hata ndoa hazina maana tena. Na kila upande unautupia mpira upande mwingine.
Turudi kwa Mungu tuelewe lengo lake hasa la kuanzisha ndoa lilikuwa ni nini. Vinginevyo ni vurugu tupu na bila ndoa zenye amani na upendo, hakuna familia bora na matokeo yake jamii nzima inaangamia.
Mungu na Atusaidie kwa kweli!
Love you more babe😍
Msimulie mwenzio ulivyoshuhudia kijana mu handsome😜imekaa sekunde tu kafuta
Love you too ❤Love you more babe😍
When the sun shines, we'll shine together
Told you I'll be here forever
Said I'll always be your friend
Took an oath, I'ma stick it out 'til the end
Now that it's raining more than ever
Know that we'll still have each other
You can stand under my umbrella
You can stand under my umbrella
Una mwili mzuri rafiki ila sijakuona sura, tuone hata kidevu basi.Msimulie mwenzio ulivyoshuhudia kijana mu handsome![]()
Hapo kuna wanawake wakorofi aisehh nimecheka , mwanamke mpole lazima kanyumba kawe kana amani na hata wanaume wengi tunaoangalia mpira bar baada ya kutoka kazini na kula bar unakuta nyumbani ukiwakufika kuna sekeseke za kiduanzi, unagonga vyombo vyako ukifika home unakula msosi kidogo unambusu mkeo unajitupa kitandani umemaliza mnaweza kudumu na amani kwa muda sanaNa kipimo kimojawapo cha uanaume ni kuwa na kifua na kuzuia hasira. Mimi mwanamke akiniudhi sawa sawa natoka nje kupunga upepo na kama tuko nje basi naondoka kidogo. Wala sisemi wala kufanya cho chote. Halafu tutaongeleshana vizuri baadaye mambo yakiwa yamepoa.
Sema sasa kuna wanawake wakorofi aisee. Akianza kuongea hanyamazi hata ufanyeje. Hata ukijifanya kuondoka ukirudi unakuta moto uko pale pale. Hawa ndo inabidi uwe mwangalifu sana kwa sababu unaweza kuishia kuua bila kukusudia na njia bora ni kupiga chini tu kimoja liwalo na liwe. Mi mwanamke anipe tu amani basi. Yaani nitoke kazini na kichupa changu cha mvinyo na kizawadi chake tukae zuliani jioni tunywe kwa raha zetu basi. Kama kuna ishu tunaziongea kwa amani na heshima zinaisha, tunasameheana na kusonga mbele. Lakini makelele kila siku aisee hapana. Hata kama ni mzuri kumzidi Boss Lady napiga chini tena bila kuangalia nyuma kamwe!