Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mkuu upo sahihi kabisa she was my first serious girlfriend, na kale ka umri kale ka ujuaji pasipo manufaa 🙂 , yaani unavyokua ndio unazidi kujua ulikuwa hujui.Yeah! Inaonekana bado ana maumivu. Nadhani karibu sote tuna mtu wa aina hiyo. Mtu ambaye japo mambo hayakwenda kama yalivyotakiwa kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto na kutoyajua maisha sawasawa lakini bado tunaamini kuwa pengine wao ndiyo walikuwa watu sahihi kwetu. Ila ndo hivyo tena hakuna la kufanya!
Hiyo wax nimeikubali. Iko vyedi.Happy mothers day,,,
Heko kwa mama yangu kipenzi,Mungu amtunze kipenzi changu,mwalimu wangu,,,,,sijui niseme nini,
Bila mama yangu sijui ningekuwa na hali gani sijuiView attachment 2215999
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi mungu ampe maisha marefu na afya tele.Happy mothers day,,,
Heko kwa mama yangu kipenzi,Mungu amtunze kipenzi changu,mwalimu wangu,,,,,sijui niseme nini,
Bila mama yangu sijui ningekuwa na hali gani sijuiView attachment 2215999
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁 Kuna mmoja ilifikia kipindi nikawa nasema itokee hata mmewake afe turudiane.. amekuwa kwangu kama mama tu bado ananipenda sana na bado nina muheshimu sana huwa tukiwasiliana au kuonana unamuaona kabisa mtu kama umekamilisha furaha yake .... nikiwa loose nampelekea lunch ofisini kwake .. au basi tuYeah! Inaonekana bado ana maumivu. Nadhani karibu sote tuna mtu wa aina hiyo. Mtu ambaye japo mambo hayakwenda kama yalivyotakiwa kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto na kutoyajua maisha sawasawa lakini bado tunaamini kuwa pengine wao ndiyo walikuwa watu sahihi kwetu. Ila ndo hivyo tena hakuna la kufanya!
Pole sana mkuu. Imechukua mda gani toka mmetenganaHata ile ngumi ambayo sikumpiga ni kwa sababu nilimzimia mno, ye mwenyewe alijua siku hio nina feeling gani juu yake, ogopa sana mtu mzima unaondoka machozi yanakulenga.
Hata hio ngumi nilishangaa inakwama ghafla, sema na kuji control pia.
Baba Mchungaji dah! Umenichekesha sana! Ina maana mpaka sasa yumo kwenye ndoa yake huko?Kuna mmoja ilifikia kipindi nikawa nasema itokee hata mmewake afe turudiane.. amekuwa kwangu kama mama tu bado ananipenda sana na bado nina muheshimu sana huwa tukiwasiliana au kuonana unamuaona kabisa mtu kama umekamilisha furaha yake .... nikiwa loose nampelekea lunch ofisini kwake .. au basi tu
AmenMwenyezi mungu ampe maisha marefu na afya tele.
Abarikiwe mama yetu kizaa chema na Allah Ampe maisha marefu kwa kadri inavyowezekana.Happy mothers day,,,
Heko kwa mama yangu kipenzi,Mungu amtunze kipenzi changu,mwalimu wangu,,,,,sijui niseme nini,
Bila mama yangu sijui ningekuwa na hali gani sijuiView attachment 2215999
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ukisikia hakuna kama mama uwe unaelewa sasaAmen,,,yaani daah namshukuru Mungu......Mama amenipambania vilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
+ kagubu kenu kwa mbaaaliUna maneno!
😁😁 alitangulia kuolewa, na hadi sasa hivi yupo kwenye ndoa na wana mtoto mmojaBaba Mchungaji dah! Umenichekesha sana! Ina maana mpaka sasa yumo kwenye ndoa yake huko?
Kuna kamoja mimi nilifikia kuwa nasali kabisa ili mume wake afe. Kuja kugundua kumbe wala hakana mume. Kidogo nikawashe makofi yaani
Yeah! Watu wa aina hiyo wapo...na kuwasahau ni mpaka siku ya mwisho tu. Maisha na mafumbo yake!
😂😂😂😂😂😂
Aisee ni miaka zaidi ya 15, nilionana naye mwaka jana ameshakua na familia mkuu, amenenepa, jamaa ake yupo jeshini (US).Pole sana mkuu. Imechukua mda gani toka mmetengana
Ukisikia uchawi ndio huu sasa🏃🏾♀️Baba Mchungaji dah! Umenichekesha sana! Ina maana mpaka sasa yumo kwenye ndoa yake huko?
Kuna kamoja mimi nilifikia kuwa nasali kabisa ili mume wake afe. Kuja kugundua kumbe wala hakana mume. Kidogo nikawashe makofi yaani
Yeah! Watu wa aina hiyo wapo...na kuwasahau ni mpaka siku ya mwisho tu. Maisha na mafumbo yake!
Ndio, mama mzaa chema. 🙂Amen,,,yaani daah namshukuru Mungu......Mama amenipambania vilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Maisha ni fumbo , alifurahi sana kukuona.. 😓Aisee ni miaka zaidi ya 15, nilionana naye mwaka jana ameshakua na familia mkuu, amenenepa, jamaa ake yupo jeshini (US).
Ulishawahi kupenda? Kabisa kabisa? Soulimeti wako kabisa? Kaone!Ukisikia uchawi ndio huu sasa
Ndio umuombee mtu afe??Ulishawahi kupenda? Kaone!
Uko sahihi Baba Mchungaji.alitangulia kuolewa, na hadi sasa hivi yupo kwenye ndoa na wana mtoto mmoja
hapo kwenye kuombea mtu afe tupo pamoja kabisa.. hili hadi mtumishi wangu mmoja mzee wa watu amejariwa neema ya ndoto, alikuwaga anaona namna inavyo nila hii kitu pale alinishauri sana ila wapi..
but naamini leo ikatokea mtu wake akifa na wangu akifa haichukui mwezi tunaoana na ndoa itakuwa na furaha sanaa
Kuna watu tunawapoteza ambao haikupaswa tuwapoteza ndio kama hawa.. ukisikia ambae alikuwa kaandaliwa kwa ajiri yako ila akachukuliwa ndio hawa.. tunajikuta tuna plan B hizi ni akili zangu tu