Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli wasituchoshe
Kwani ni lazima kutumia mafuta jamani? Mafuta yanatajwa kuwa ndo kisababishi kikuu cha cardiovascular diseases duniani kote na hiki ndicho #1 killer duniani. Mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa kama watu wataacha kutumia mafuta. Mwezi mmoja tu wa kula chukuchuku unatosha kusafisha mishipa ya damu na kuondoa mrundikano hatari wa lehemu (cholesterol) mwilini.

Kwa kweli yaendelee tu kupanda!
 
😂😂😂😂😂 yan kuimbisha tu mpaka ugonge tubia kadhaa?
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli bora tupunguze cholesterol mwilini. Sasa hivi utatusikia tu "dada kuwa makini, mafuta mengi sio mazuri kwenye chakula". Kumbe mambo yetu ya bajeti
 
Oooh mirija ya damu kutoka kwenye moyo ilivyoziba,walinikataza nisitumie mafuta aisee, nilipata tabu,lakini nilishazoea

Chai kwa asali
Mboga kwa nazi au chukuchuku

,,msosi bila wese haunogi babu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta wanapambana hawa wa mjini, kuna maeneo mafuta bure kabisa na ni mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…