geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
uzi huu siku hizi unanipa hasira....kila nikiingia nakuta picha zimefutwa[emoji3062][emoji3062][emoji3062]
[emoji23][emoji23] kuna new sheria..ukitaka picha zirudiwe unaweka kwanza yako na hela ya soda.uzi huu siku hizi unanipa hasira....kila nikiingia nakuta picha zimefutwa[emoji3062][emoji3062][emoji3062]
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 zile pipo ni nyokooooo!!Ukute hapo kakupa
Ile style ya simba kakosa windo[emoji1787]
Ni Balaa[emoji1787]
Mmakonde sijui myao akasome
Uno linapigwa mjegejo ukiwa in
Utashangaa unarasimishwa mto kagera
water bed inahamia mlipo[emoji2089][emoji95][emoji3]
Kabisaaaaa....na sheria imepita naona sophy keshaanza kuifuata sheria...safi sana[emoji23][emoji23] kuna new sheria..ukitaka picha zirudiwe unaweka kwanza yako na hela ya soda.
Bado hela ya soda [emoji1787]Kabisaaaaa....na sheria imepita naona sophy keshaanza kuifuata sheria...safi sana
Hela itasumbua tufanye vocha dia😜Bado hela ya soda [emoji1787]
Kweli iwe vocha [emoji23]Hela itasumbua tufanye vocha dia[emoji12]
Mitaa yake ya kujidai eeh. AsanteHiyo itakua kwa wanene Njiro huko
Hahahaaaa.. Nimependa hii " Wakulima hatunaga location"[emoji8][emoji8]Wakulima hatunaga lokesheniView attachment 2214390
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Haha [emoji28][emoji23][emoji23] kuna new sheria..ukitaka picha zirudiwe unaweka kwanza yako na hela ya soda.
Ni penyewe… uache uzembeMitaa yake ya kujidai eeh. Asante
Hahahahaa usinikumbushe tasavaliNi penyewe… uache uzembe
Huoni Puma hiyo? 🤣 hapo ukitoka kule ulipokuwa ukifka Asilia kwa mbele kidunchuu
[emoji41]Ajabu upo singo
Kidole gumba cha mguu
Kinaashiria mema
Hiyo puma kabla ya totalNi penyewe… uache uzembe
Huoni Puma hiyo? [emoji1787] hapo ukitoka kule ulipokuwa ukifka Asilia kwa mbele kidunchuu
Popote tunapiga picha [emoji16]Hahahaaaa.. Nimependa hii " Wakulima hatunaga location"[emoji8][emoji8]
Jaman umekuwa bonge lini?Naenda zangu kupumzika [emoji17]
View attachment 2214396
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app