Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Nina shida kweli.. najaNifuate pm sasa![]()
Nilikuwa natengeneza njia ili usije kaushia pm zangu 🤣🤣
Nina shida kweli.. najaNifuate pm sasa![]()
Eeh kuzurura na kupiga selfie🤣🤣Tutaingia kufanyaje? Au kuzunguka tu 🤣🤣
Humo ndani ni pakali kinoma 🥰 na wana zile lift za kusimama unakula mseleleko 😂
Yaani nimefkiria hapa ad kichwa kimeuma ila bado najaribu kuvuta kumbukumbuUmefail….
Wazo zuriItabidi kuwa na kautaratibu hivi, mtu akitaka pic irudiwe, aweke kwanza yake mengine yatafuate
🤣🤣 walinzi na suma.. wakitukimbiza?Eeh kuzurura na kupiga selfie🤣🤣
Zile lift za ngazi ila ukikanyaga unasimama?
MmmhItabidi kuwa na kautaratibu hivi, mtu akitaka pic irudiwe, aweke kwanza yake mengine yatafuate
Yeah...Umeona ehh![]()
Acha tu
Cha kati ndio nini lakini wee msukuma??Acha tu
Ikiwapendeza wafanye muujiza
Maji kuwa divai
Mimi mkate wangu lazima nipige cha kati
Niwahishe mahitaji yenu
Uongo dhambiHahaa... wee unaonekana expert yule mbobezi kabisa unajua hadi kurushiwa yale maji wee ninoumaa!!
AsikuharibieNipo singo mie![]()
Noted.Tuangalie basi uzi wa watu kuselfika na kujiachia usigeuke na kuwa wa kupost memes...Memes zina uzi wake wa vituko mitandaoni huko...
Mara moja moja memes sawa lakini siyo mtu unarundika memes kibao kwa mpigo.
Ni angalizo tu lakini![]()
Nipo singoKhaa! Huyu ana mchuchu hapa hapa. Huyu hapana![]()