Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Nipo singo bana[emoji3064]Khaa! Huyu ana mchuchu hapa hapa. Huyu hapana [emoji16][emoji16]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Nipo singo bana[emoji3064]Khaa! Huyu ana mchuchu hapa hapa. Huyu hapana [emoji16][emoji16]
kakiri kuwa its free changamkia fursa brod!Kama ina mwenyewe sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Jaman mimi single boy[emoji4]Jp sio mimi ni Kelsea mwenyewe![emoji6][emoji12]
ulijichimbia wapi mdogo wangu kwakweli umepitwaa... vitu vizuri hatare!Ina maana Mimi ndo zote nimepitwa nihame hii nchi aise[emoji17]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji4][emoji4]
Mimi tena[emoji4]kakiri kuwa its free changamkia fursa brod!
Yaani nimejisikia kulia [emoji17]haiwezekani nipitwe namna hiiulijichimbia wapi mdogo wangu kwakweli umepitwaa... vitu vizuri hatare!
Ndio kama una kisu kikali!!
Kwenye suala la ukojozaji nina cheti, lakini namna ya kumuangalia mwanamke mtamu sifahamu.Hahaa... wee unaonekana expert yule mbobezi kabisa unajua hadi kurushiwa yale maji wee ninoumaa😉😜😜!!
Hahahaaaa.... 🙌🙌🙌🙌Kwenye suala la ukojozaji nina cheti, lakini namna ya kumuangalia mwanamke mtamu sifahamu.
HahahaaLenie hivi ili si ndio jengo classic Chuga nzima?
Lift zake zinaumiza ubongo 🤣🤣
Ili si linampita AIM mall parefu?
View attachment 2214266
🤣🤣Itabidi kuwa na kautaratibu hivi, mtu akitaka pic irudiwe, aweke kwanza yake mengine yatafuate
Kabisa asee!! Binafsi naona ni Wazo zuriItabidi kuwa na kautaratibu hivi, mtu akitaka pic irudiwe, aweke kwanza yake mengine yatafuate
Tutaingia kufanyaje? Au kuzunguka tu 🤣🤣Hahahaa
Ni kalii, sijawah kuingia.
Naomba nikija week ijayo unipeleke nikaumie mgongo na mie🤣🤣