CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Utume tena jamani sijawahi kubahatisha japo kapicha ka mdogo angu humu , pleaseeNshaifuta mie mbna.
Kwani hana Ndugu wakike jamaa na marafiki we mpambe kha!!Umejuaje[emoji848]
Una mtoto[emoji848]
Unashadadia sasa😂😂😂
Ooooh mbna ziko nyingi sana mie humu,Utume tena jamani sijawahi kubahatisha japo kapicha ka mdogo angu humu , pleasee
Ndio juzikati tu ndio imeanza !nilienda wakanipa mavidonge fulani hivi naona bado nataka niende hospital nyingine nione! Mi mwenyewe chakula changu kikubwa kilikua mchemsho sipendagi vya kuunga unga sana mie sasa hapo nakomaje!! ya kuku hadi niikaange kauuu walau!
Umeninyima kunitoa out aah😂Naam
Naomba unitag ukituma katoto😛Ooooh mbna ziko nyingi sana mie humu,
Ngoja nikupe hapa.
3gInternet ya kasi zaidi, ndo hiyo hiyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2209751
Mmh kawaida tu mkuu😂SYB
Hakukosea[emoji1787]
Mbeya ni shida kwa vishundu
Kaa hapa sahivi yaan.Naomba unitag ukituma katoto[emoji14]
Mimi sipendi supu wala ndizi na huo mtoriKwani hana Ndugu wakike jamaa na marafiki we mpambe kha!!
Mwakani nina mpango wa kutotoa ka last born sasa nikiwaza mzazi kukosa michemsho ya nyama ngachoka!! Na huku niliko samaki kupatikana kwake ni balaa tupu![emoji134][emoji848][emoji848]
mimi huku kwingine naona poa tu maharage dagaa mboga za majani na matunda kwa wingi.. kasheshe kwenye uzazi ila ikigoma sitakua na namna mbona Kuna ambao hawali nyama na wanajifungua buana!!(Tatizo mazoea Mtoto wa kwanza na wapili ilikua fureshi tu)🤣🤣Ooh okay
Hebu angalia hospital hiyo nyingine uone waweza pata matibabu tofauti .
mazoea ni shida ila bora unakula hata huyo kuku aisee
I'm okay vipi wewe ?Tinsley how are you View attachment 2210528
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko mwaka wa ngapi 😊
Sahivi unao wangapi? Hadi useme last born?Kwani hana Ndugu wakike jamaa na marafiki we mpambe kha!!
Mwakani nina mpango wa kutotoa ka last born sasa nikiwaza mzazi kukosa michemsho ya nyama ngachoka!! Na huku niliko samaki kupatikana kwake ni balaa tupu![emoji134][emoji848][emoji848]
I am okayI'm okay vipi wewe ?
Naelekea final. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko mwaka wa ngapi [emoji4]
mimi huku kwingine naona poa tu maharage dagaa mboga za majani na matunda kwa wingi.. kasheshe kwenye uzazi ila ikigoma sitakua na namna mbona Kuna ambao hawali nyama na wanajifungua buana!!(Tatizo mazoea Mtoto wa kwanza na wapili ilikua fureshi tu)[emoji1787][emoji1787]