cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172






sasa si kauliza jaman mlongo?





sasa si kauliza jaman mlongo?Akili za Wige anazijua mwenyewe!!
Eti maandishi
Eeeeh ndo jirani nae kapika hivi hivi, yaan nimekula had baas,
Yaani amenichekesha hahahaAkili za Wige anazijua mwenyewe!!
Mbna mie sijaziona hapa, aaah.Nasubiria selfii zenu za Eid mjue!![]()
Binti mlokole asije onjeshwa gambe akidhani juice ya appleMovie nzuri hii View attachment 2210455
Eeeeh ndo jirani nae kapika hivi hivi, yaan nimekula had baas,
Jirani leo katuamulia, naingia home tyuuh, hata sijaingia ndan nakabiziwaa sahan mweeeh, nyama ndo nmefaidi tena nyingi mnoo.
Eeeeh ndo jirani nae kapika hivi hivi, yaan nimekula had baas,
Jirani leo katuamulia, naingia home tyuuh, hata sijaingia ndan nakabiziwaa sahan mweeeh, nyama ndo nmefaidi tena nyingi mnoo.

kakuweza
NiliiangaliaMovie nzuri hii View attachment 2210455
HahahhaBinti mlokole asije onjeshwa gambe akidhani juice ya apple
Ooh yeahNiliiangalia
Nzurii
Nimekumiss boss ladyMpambe kazini!!!
Nasema nasubiria sio mkituma mazee Fanyeni namna kabla sijasinzia basiMbna mie sijaziona hapa, aaah.
Ndio wanapewa mabinti walokole wanaobania mbususuHahahha
Juice ya apple ina uchachu fulani hivi
Yaan acha tyuuh, mwenyewe nafungua gate kimya kimya, ile nakaribia mlangon kwangu, nashangaa nakabiziwa sahan, nkabaki kupokea tyuuh, chukua funguo fungua mlango kuzama ndan anza kupakia nyama kwan.






sinywi pombe Wige yani mie sinywi pombe sili nyama sijui nafurahia kitu gani hata🤔🤔🤔!!Nimekumiss boss lady
Nipo natandika mi safari
Karibu
Hebu nitume afu nilale hapa.Nasema nasubiria sio mkituma mazee Fanyeni namna kabla sijasinzia basi