Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Check PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] lect nn sasa? Nipo hapa nawafurahisha mates.
Check PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] lect nn sasa? Nipo hapa nawafurahisha mates.
Wooooow
Mbna sioni mmmhCheck PM
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 unaondoka unawapisha zako kupepusha Majaribu ya rejareja😜 ! 🤣😂😉!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] sis nimecheka had watu wananiona chizi hapa, eti ulimchambaa. Woiiiiiiiih.Halafu kinachonipiga exile ni kifirst year
Yule mtoto baadaye shule ilimnyoosha.
Sema nilikuwa sishindi rum .na nikirudi nawatoa ndukii..
Nilikachambaga hako kajingaa kenzake..nilikachambaa..hakakurudia Tena.
Eti alitaka alale mule rum hadi asubuhii aiseee palichimbika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie wana selfika, kwann mko kimyaaa? Au ndo mtoko wa sikukuu? Hebu tupieni picha zenu.
Mie madesa yashuke vizuri, woiiiiiih.
Maskani, njoo upakue basiiiJamani,pilau waapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo hebu baibui ya sikukuu nione,
Sina mtoko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo hebu baibui ya sikukuu nione,
Afu naskia harufu ya pilau tyuuh.
Anza wewe kutupiaNyie wana selfika, kwann mko kimyaaa? Au ndo mtoko wa sikukuu? Hebu tupieni picha zenu.
Mie madesa yashuke vizuri, woiiiiiih.
Mie baadae, hapa nilipo sio sahihi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anza wewe kutupia
Yaan nimekimbia pale home, yule dada leo katuamulia khaaah.
Karibu hakipakuliwi hadi uje.
[emoji23][emoji23][emoji23]na midundo,Yaan nimekimbia pale home, yule dada leo katuamulia khaaah.
Kuku 5, mazaga sasa, yaan leo pale sikanyagi mapema ntapoteza utu wangu bureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa M mwera yule, hii Eid kaipania khaaaah. Harufu ya marashi sasa mweeeeh.
Duuuuuh.
Mchumba upo kimya?au unaanda maanjumati?Halafu kinachonipiga exile ni kifirst year
Yule mtoto baadaye shule ilimnyoosha.
Sema nilikuwa sishindi rum .na nikirudi nawatoa ndukii..
Nilikachambaga hako kajingaa kenzake..nilikachambaa..hakakurudia Tena.
Eti alitaka alale mule rum hadi asubuhii aiseee palichimbika.