Nimekumbka mbali sana, yaan siku hiyo tcha kaniita kunipa manotes ya mwsho na maufund kidg, nkaea naona ananipotezea muda wa mie kumeza,
Aseeeh kuja pepa hivi, yaan km ningekosa kupewa ile last nomiees, ingekua hatar. Yaan nilikua nashuka tu. Hahahah nlimshukuru baadae.
Huu muda ndo walimu kuwajazia ya mwsho mwsho hao madogo.