Nlibahatika kukutana nae live posta ktk ofisi 1 ya umma, alikua na jamaa fulan hivi walikuaga wote ktk movie zao, yaan nlivomuona nilipatwa na shauku ya kutaka kumsalimia ila nliogopa,
Walivyotoka nkamuuliza mtu wa pale akanithibitishia ni yeye na yule jamaa n mumewe. Yaan kaolewa na msanii mwenzake.