Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shouzzz achaga uongo wako, akati natokaga hapa ili watu wafurahi, maana naambiwa nikiwepo hapa watu wanakereka na kuboeka,
Huwa naamua kupisha ili wa enjoy, now nimekua sitaki migogoro wala vurugu na watu wengine.

Mic u saaanaaa.
Wee shos hayo ni matatizo yao bana binafsi naona uwepo wako humu unachangamsha sana!!! usiwe unapotea sana shos!!
 
Nimeiona shos you loo so gorgeous!!!
Umenouga hatareee!!
Kama wa ulaya vileeee wewe bongo bahati mbaya tu wauweeeee!!![emoji3577][emoji3577][emoji1732][emoji1732]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzz acha kunijaza bas, niko Bongo bahati mbaya eeeh?
Hebu nitafute VISA nirudi kwetu Las Vegas. Uwiiiiiiiiih.
 
Back
Top Bottom