Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeshangaa Arusha sababu sijawahi fika katika maisha yangu
Mwishoni mwa sentensi yangu nilimalizia na "usiniambie uko Dar!" Mtu unataja vichochoro vya mwananyamala ndani ndani huko uwepo Arusha kweli!. Naomba day moja uniruhusu nije nikuone tu kisha nirudi home nikalale!! Shimba Ya Buyenze [emoji4][emoji4][emoji4]
 
naweza kuwa Sumbawanga nikataja vichochoro vya Kigoma.

Endelea kusubiri kama tunavyomsubiri Masiha
 
Foxhound njoo upoze[emoji39]
IMG_20220430_213923.jpg
 
Back
Top Bottom