Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji4]
20220430_204708.jpg
 
Unafanya nini Nansio? Si ajabu unawinda wajukuu zangu tu huko [emoji51][emoji51][emoji51]

Na ukijichanganya huko mamba atatumwa aje akudabue hata kwenye kikombe cha maji ya kunywa...
Mkuu usiwe na khofu!
1. Niko kwenye mfungo
2. Nimekwenda mara moja kwa mambo ya kielimu zaidi
3. Wajukuu zako itakuwa wapo pale maeneo ya Kayenze, mara nyingine nikienda nitawacheki (Nifaidi uumbaji)
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom