Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Ngoja nione kama nitapata ka nafasi ka kuselfika nikiwa nimesimama nkamu

😍😍Nakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu😅😅😅
View attachment 2206443
MnooooWanatuheshimisha![]()
Ndio mkuu tunaenda kuchukua mke Moshini harusi au ni nn?
Mama mchungaji ni 😍😍
Mikono utaipata kwa namna yoyote nkamuPlz kwa ajili yangu nimetamani mikono nataka niige![]()
Ua waridi lenye fimboNakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu
View attachment 2206443



Kwakweli Mama mchungaji yupo vizuri color ya nguo ipo👌😍😍Mama mchungaji ni 😍😍
Mtumishi weeeeee. Popote ulipopunguza sifa kwa ajili yangu; ukasifiwe maradufu. Nations shall clap for you always😘😘😘😘😘Ua waridi lenye fimbo
Jua angavu la asubuhi
Lenye mishale joto ya dhahabu
Katika ncha zake mchomozo huishi
Yeye Ndiye!
Mama Mchungaji mwema
Aliye tegemeo la wengi...
Fearfully and wonderfully made!
'Nough said![]()
Eeeeh basi hapa chogo limenirefuka nyie. Mbarikiwe sana 😅😅😅Kwakweli Mama mchungaji yupo vizuri color ya nguo ipo👌😍😍
Kizuri kinasifiwaa bwana 🥰😍😍Eeeeh basi hapa chogo limenirefuka nyie. Mbarikiwe sana 😅😅😅
Ahsante camera Nuzu. Fanya uende kwa huyo fundi banaKizuri kinasifiwaa bwana 🥰😍😍
Umependeza mama.Nakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu
View attachment 2206443
Ahsante nkamuUmependeza mama.
Na nikitokezea natupia tupicha tumoja humu😜Ahsante camera Nuzu. Fanya uende kwa huyo fundi bana
Ule haukuwa msimamo wa wanaume wote wa Jf..aliyesema jf hakuna warembo wazuri aadhibiwe yeye Kama yeyeWeee usiniambie?? kwa hiyo mnafuta maneno yenu ya mwanzo![]()
Ndio mkuu tunaenda kuchukua mke Moshi
Ule haukuwa msimamo wa wanaume wote wa Jf..aliyesema jf hakuna warembo wazuri aadhibiwe yeye Kama yeye
View attachment 2206371
Nawaza naweza nikapata kitambaa kama hiki Tanzania na fundi mzuri wa kunishonea kama huyu mrembo 😬😬au duka linauza nguo kama hii🤔