Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ndaga nkamuNgoja niende kwenye sherehe miye mambo ya Mpira tuwaachie wanaume![]()
Ndaga nkamuNgoja niende kwenye sherehe miye mambo ya Mpira tuwaachie wanaume![]()
Usiogope mpendwa kama upo dar Wewe nielekeze mitaa gani au nikifika hapo niulize kwa fundi gani ila hicho kitambaa nakipata wapi 😬😬Kitambaa sina uhakika ila nna fundi wangu yupo uswahili unachokiona ndiyo anakutolea ni vile tunaogopa kujulikana ningekupa no ila yupo vizuri sana sana unachompelekea ndiyo anakutolea na hana bei
Kitambaa sina uhakika ila nna fundi wangu yupo uswahili unachokiona ndiyo anakutolea ni vile tunaogopa kujulikana ningekupa no ila yupo vizuri sana sana unachompelekea ndiyo anakutolea na hana bei
Heshima kubwa kwa kina fundi jumaKitambaa sina uhakika ila nna fundi wangu yupo uswahili unachokiona ndiyo anakutolea ni vile tunaogopa kujulikana ningekupa no ila yupo vizuri sana sana unachompelekea ndiyo anakutolea na hana bei
Naam!Ngoja niende kwenye sherehe miye mambo ya Mpira tuwaachie wanaume![]()



Usiogope mpendwa kama upo dar Wewe nielekeze mitaa gani au nikifika hapo niulize kwa fundi gani ila hicho kitambaa nakipata wapi![]()
Heshima kubwa kwa kina fundi juma
Naam!
Ndo maana braza akaona isiwe kesi akaamua kubeba jumla asubuhi na mapema. Pyua gojazinesi yaani...nkamu!![]()


Unafanya nini Nansio? Si ajabu unawinda wajukuu zangu tu huko



GorgeousNakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu
View attachment 2206443
Asante kipenzi naitaka ya sherehe kipenzi 💃🏼nawaza nitoke vipi🤷🏼♀️Mama unajua ni uswahilini!! unaweza sema unaenda kukabwa ni Mwananyamala huko kwa kopa ila nguo isiyo na lining 10,000 iliyo na lining 20,000 yoyote ile hata za sherehe hana tamaa.
Kitambaa nenda kwa Zidane, Queen of fabrics au kwa Natty wacheck hata watsap
We ni mrembo, kama ambavyo siku zote nilikuwa ninatazamiaNgoja niende kwenye sherehe miye mambo ya Mpira tuwaachie wanaume![]()
Nakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu
View attachment 2206443
umependeza Mama dress ipo 
Nakuwakilisha katika Imani ya ushindi. Leo angalau tupumzike na stress za Simba, tukashereheke tu
View attachment 2206443


Asante kipenzi naitaka ya sherehe kipenzinawaza nitoke vipi
![]()
We ni mrembo, kama ambavyo siku zote nilikuwa ninatazamia

Wabarikiwe kina fundi Juma kwa kutustiriMy beautiful Nkamuumependeza Mama dress ipo
![]()
Ngoja nione kama nitapata ka nafasi ka kuselfika nikiwa nimesimama nkamuNkamu natamani usimame plz![]()