Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Nimemiss selfie zako za vocha😇Mama mchungaji selfika boss wangu
Mimi hii wiki yote nimeselfika
Nimemiss selfie zako za vocha😇Mama mchungaji selfika boss wangu
😂Leo siku ya kufua kwa sie tusiokuwa na hela[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Napenda tu dressing code zako❤️🥰Around asubuh asubuhi [emoji3059]View attachment 2205860
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kunywa soda pia ni hatariLakini kuna baadhi ya hatari zinaepukika,
Ni vema kuziepuka zinazoepukika ili tubaki kupambana na zisizoepukika.
Kiporo cha wali ndondo kimeniponza🤣Tatizo wewe unasinzia boss wangu
Basi jitahidi tumalizie wiki vizuri boss wanguNimemiss selfie zako za vocha😇
Mimi hii wiki yote nimeselfika
Ondoa emoj sophy27Around asubuh asubuhi [emoji3059]View attachment 2205860
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hicho kiporo nomaa sana🤣Kiporo cha wali ndondo kimeniponza🤣
Basi nitumie chemba nione
Nigundue kama yaliyomo yamo in T 1990 ELY voice😜
Asante shida kufua ukiwa na nguo tano tu shughuli lkn pia ni mbaya ukitumia usafir wa boda aisee nilipataga ajali na hii nguoNapenda tu dressing code zako[emoji3590][emoji3059]
Umekata sana Aunt JuniaAsante shida kufua ukiwa na nguo tano tu shughuli lkn pia ni mbaya ukitumia usafir wa boda aisee nilipataga ajali na hii nguo
Niliumia nikavunja na simu [emoji24]
View attachment 2205877
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hamna kitu mkuu sura ya baba mzazi mama alinipa ubonge tu atleast unanisave naonekana mtu [emoji23][emoji23]Nigundue kama yaliyomo yamo in T 1990 ELY voice[emoji12]
Huo huo ndo wenyewe sasaHamna kitu mkuu sura ya baba mzazi mama alinipa ubonge tu atleast unanisave naonekana mtu [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kanguo kazuri😍Asante shida kufua ukiwa na nguo tano tu shughuli lkn pia ni mbaya ukitumia usafir wa boda aisee nilipataga ajali na hii nguo
Niliumia nikavunja na simu [emoji24]
View attachment 2205877
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nguvu ya kupiga picha haipoBasi jitahidi tumalizie wiki vizuri boss wangu
Kuna siku,Ile jumatatu ya pasaka natoka zangu Moro nipo maeneo ya kibamba kuna mdada nilimwona amesimama anataka kuvuka barabara amefanana sn na wewe!! Nilitaka nimuite lenieeee Ila nikasema au basi??Kiporo cha wali ndondo kimeniponza[emoji1787]
Basi nitumie chemba nione
Asante Sana Mama juniaKanguo kazuri[emoji7]
Ungemuita atakua pacha wangu huyo.Kuna siku,Ile jumatatu ya pasaka natoka zangu Moro nipo maeneo ya kibamba kuna mdada nilimwona amesimama anataka kuvuka barabara amefanana sn na wewe!! Nilitaka nimuite lenieeee Ila nikasema au basi??
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ilikuwa jioni km saa 12.Ungemuita atakua pacha wangu huyo.
Hiyo siku sikutoka nilikua nimelala tu home baada ya uchovu wa jana yake