Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Naona upo unahangaika kukisiaNikuulize nini tena?![]()
Naona upo unahangaika kukisiaNikuulize nini tena?![]()
Siku zote furaha yako itakuwa kipaumbele changuUPENDO UNASEMA..
" Siwezi kukuhaidi kuwa nitakutatulia matatizo yako yote, ila nachokijua ni kuwa hautakabaliana nayo peke yako, tutakuwa pamoja katika shida na raha".
"Hatutataka kusikiliza story nzuri za kimapenzi kutoka kwa watu wengine ..bali tutaitengeneza sisi wenyewe".
"Ninapokuwa na wewe jambo kubwa naloomba ni kumwambia Mungu kuyagandisha masaa ili niendelee kuspend muda nikiwa na wewe"
"Nilipomuomba Mungu kuniletea mtu nitakaempenda siku zote za maisha yangu ulikuja wewe"
"Siku zote furaha yako itakuwa kipaumbele changu"
"Pamoja na wewe tutatengeneza mahusiano imara na yenye kuvutia"
"Wewe ni sehemu ya furaha yangu, nitajitahidi kuitunza furaha hii siku zote"
"Utakuwa sehemu ya maombi yangu kila siku maana nitapenda kukuona ukiendelea kuwa pembeni yangu siku zote.
Single boys msije na makasiriko...
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app


Ni utani tu Mama Mchungaji...Naona upo unahangaika kukisia



Mnuso ndio kitu gani?Ni utani tu Mama Mchungaji...
Sikisii cho chote...
Sina sababu ya kufanya hivyo...
Ila kwenye mnuso lazima![]()
Siku zote furaha yako itakuwa kipaumbele changu
Sawa kabisa
Sasa ukininyima mbususu
Nitakufurahia vipi![]()


JingaHarusi yako
Na Pepo![]()
Khaaah🙌🙌
Tusindikize na kapicha Auntie Junia
Lips za chini neneKaselfie ka March aisee kupiga picha ni kipengeleView attachment 2204115View attachment 2204116
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
sophy27 kumbe ni mali safiKaselfie ka March aisee kupiga picha ni kipengeleView attachment 2204115View attachment 2204116
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yaliyomo wapiLips za chini nene
Zinasadifu
Yaliyomo yamo

Mkulima mmoja hiv hakuna Cha Mali Safi Wala Ninisophy27 kumbe ni mali safi
Umeona na hapo kifuani vile kifua kimetuna kama twiga ananyonyeshaLips za chini nene
Zinasadifu
Yaliyomo yamo
MmmmmhMkulima mmoja hiv hakuna Cha Mali Safi Wala Nini
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mzuuurii🤩😍❤Kaselfie ka March aisee kupiga picha ni kipengeleView attachment 2204115View attachment 2204116
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app