Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Nimependa namna unavaa vizuri
Nimependa namna unavaa vizuri
Hapo pamejaa vizuriUmeona na hapo kifuani vile kifua kimetuna kama twiga ananyonyesha
Mtoto mzuri sheikh wangu
Kwema lakini mkuu


Asante tunaficha ficha matege na makomwe yetuNimependa namna unavaa vizuri

Nalemhola/Bhalemhola sana nkoiHapo pamejaa vizuri
Kama nazi za buku pale mabibo
Halafu rangi sasa
Haibishaniwi
Huko davis kona atakuwa
Anamiliki Yutong yenye terious
Sijambo ndugu yangu
Igaganulwa na matongo
Hawajambo![]()
Hapo pamejaa vizuri
Kama nazi za buku pale mabibo
Halafu rangi sasa
Haibishaniwi
Huko davis kona atakuwa
Anamiliki Yutong yenye terious
Sijambo ndugu yangu
Igaganulwa na matongo
Hawajambo![]()


kazi ipo😂😂😂Asante tunaficha ficha matege na makomwe yetu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nalemhola/Bhalemhola sana nkoi
Emaga nachime kwanza badae kidogo nkingwa


Amina amina mtumishiK
Kwa kweli tusiache kushirikishana na kukumbushana Neno la Mungu; ndiyo msingi wetu.


Unakosaje furaha iliyokamili kama upo na yesuMimi nipungue, wewe uongozeke
Mimi nipungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi nipungue, wewe uinuliwe.
Kwa kweli. Na furaha ya Bwana ndiyo nguvu zetuUnakosaje furaha iliyokamili kama upo na yesu
Mimi nipungueMimi nipungue, wewe uongozeke
Mimi nipungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi nipungue, wewe uinuliwe.
Unitumie VNMimi nipungue
Wewe uongezeke
Ngoja kesho nikanyoshe koo na haka kawimbo
Ya hili bezi?Unitumie VN
Eeh hilohilo😏😏Ya hili bezi?
Chaah😂Eeh hilohilo😏😏
Kwa hiyo umeamua kunisema?Chaah😂
Litatoboa masikio..halafu Kali kama filimbi