Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

F88F7CE4-EF89-43F6-9F5A-16991663DA47.png
 
Nilikabidhiwa Biblia kubwa rasmi nilivyoenda shule secondary .
Huku nyuma nilikuwa natumia Biblia ndogo almaarufu kama Agano jipya.. ensign hizi za Sunday school.

Hongera pia,itunze.

Mimi ni heri nimpe mtu hela akanunue Biblia ila siyo kumpa Biblia yangu.

Hizo biblia ndogo zenye agano jipya na zaburi nitazipata wapi hivi kwa sasa maana ile unaenda nayo kila sehemu .

Oooh Asante ..hakika bibilia ni mwongozo maishani mwetu .
 
Tulikuwa tunagombania Biblia ya Mzee ni nzuri ina pande mbili kiswahili na kingereza .. nimefanikiwa kuipata aisee
Walimu wa Sunday school watakuwa nazo.
Enzi hizo walikuwaga wanazigawa shuleni.

Mimi nyumbani nilikuwa nazo nyingi nyingi
Sijui kama bado zipo.

Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu
Na ni mwangaza njia zetu ..hutupa Nuru.
 
Zaburi inaupiga mwingi

Mimi napenda zaidi Mithali.

Sijui ntazikutaga wapi hizi Biblia
Enzi hizo Mzee wangu alikuwa ananiletea akitoka kwenye mikutano yao ya Sinodi.

Zaburi ni nzuri sana maana inakuweka karibu na Mungu na unahisi uwepo wake kabisa .
Mithali ina mafundisho mazuri sana , yanatuyojenga maisha yetu kama wakristo .

Nakumbuka sisi tulikuwa tunapewa shule wakija kwa ajili ya huduma .. zimepotea sijaziona muda .
 
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana😊
 
UPENDO UNASEMA..

" Siwezi kukuhaidi kuwa nitakutatulia matatizo yako yote, ila nachokijua ni kuwa hautakabaliana nayo peke yako, tutakuwa pamoja katika shida na raha".

"Hatutataka kusikiliza story nzuri za kimapenzi kutoka kwa watu wengine ..bali tutaitengeneza sisi wenyewe".

"Ninapokuwa na wewe jambo kubwa naloomba ni kumwambia Mungu kuyagandisha masaa ili niendelee kuspend muda nikiwa na wewe"

"Nilipomuomba Mungu kuniletea mtu nitakaempenda siku zote za maisha yangu ulikuja wewe"

"Siku zote furaha yako itakuwa kipaumbele changu"

"Pamoja na wewe tutatengeneza mahusiano imara na yenye kuvutia"

"Wewe ni sehemu ya furaha yangu, nitajitahidi kuitunza furaha hii siku zote"

"Utakuwa sehemu ya maombi yangu kila siku maana nitapenda kukuona ukiendelea kuwa pembeni yangu siku zote.

Single boys msije na makasiriko...

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Single boys msije na makasiriko..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Amiiiin Auntie wa Junia🥰🙏
Asante ngoja nikaipaste sehemu
 
Back
Top Bottom