Nimeona huu mtanange nikakukumbuka Bosi Ledi. Isije ikawa umeenda filidi mahali kunoa pedagogical skills zako za Kemia umbo lako kali limewachanganya maboya hawa mpaka wamelimana mapanga
Usemi utoke wapi sasa soulimeti wakati kila kitu ni self explanatory?
Kawe na siku njema iliyobarikiwa sana. I hope yule boya aliyekupiga chini ulishamfurumusha mazima kutoka moyoni mwako...na kuna mfalme mpya amekalia kiti cha himaya sasa