Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23]hapo ndo watapotamani watu kurudi shule kufundisha na madam [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka Primary Ile mitihani ya joint, kuna ticha wa shule jirani alikuwa pisi afu ana sauti nzuriii; badi wavulana kila saa kuomba wasomewe vizuri maswali eti hayaonekani fresh kwenye pepa. Watoto wa kiume...
Yani wakiamua kuanzisha fujo ni fujo haswaa! Sasa olevo ni mixa advance wanavojisevia vibinti vya olevo mungu wangu!!
 
Back
Top Bottom