Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Usije tu ukamhamishia kwa yule fundi wako wa kuweka maputo kwenye mikono na mabeganiHuyo fundi wako jamani, inabidi tum-replace





Usije tu ukamhamishia kwa yule fundi wako wa kuweka maputo kwenye mikono na mabeganiHuyo fundi wako jamani, inabidi tum-replace





ni mahondaw huyu?Halafu somo lake gumu. Angekuwa anafundisha Kiswahili au Civics afadhali. Sasa Kemia dah! Mi ningefeli tu kwa kweli
View attachment 2202113
Nilikuwa nakuwekea picha ya puto hapa iimegoma😁😁😁Usije tu ukamhamishia kwa yule fundi wako wa kuweka maputo kwenye mikono na mabegani![]()
Mbengo zemeneonyesha. Njea ne heyo heyo!Umeshendwaaaaaa
Na hii njia huijui![]()
binafsi nisingeelewa,ila nisingekosa kipindi chake
Vijana wenyewe hawa anazingua unamwambia njoo ofisini..anakuja unamwambia haya hebu jielezee nini kimetokea anaelezea kisha unamwambia haya andika barua ya haya maelezo ulosema hapa ukiri kabisa anakujibu mwalimu barua yanini Wakati nimeshakuelezea hapa jamani maelezo ni hayahaya mwalimu !Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?![]()


!Aisee hebu iweke Mtumishi. PuliziNilikuwa nakuwekea picha ya puto hapa iimegoma![]()



selfika kdg basiNilikuwa nakuwekea picha ya puto hapa iimegoma😁😁😁
Mie sitaki sheedaaaa kabisa msukuma!!Alikuwepo mwalimu mmoja alikuwa anafundisha kiingereza asee,, alikuwa anaitwa sanga,, nyie nyie yule madam ni fayaaamsemo wa zaiid "alikuwa amejaza nyuma kama contena" af alikuwa anapiga vimini af nlikuwa nakaa mbele akifika tu mie begi nalipakata maana najua muda wowote hali si hali
Mbengo zimefonga.Mbengo zemeneonyesha. Njea ne heyo heyo!
Kalale msukuma, ukiamka tu nishtueAisee hebu iweke Mtumishi. Pulizi![]()
Em weka hata kivuli chako mjeda leoselfika kdg basi
Umependeza sana.Sitaki makwazo Vijana wa mama ma mchungaji ni sketi na shati sketi mshazari tu ila shati hapa mbele juu Nilitaka kushona denda fundi alichoshona sasa utacheka.. Ngoja badae baridi ipungue nivue kikoti nijiselfii shati ucheke hii denda ! Hadi siwezi kuivaa bila kikoti kwa juu!View attachment 2202107
Kwani juzi tulipitia njia gani? Au kwa vile ilikuwa usiku labda nimekonfyuzi hilo jengoMbengo zimefonga.
I highly doubt kama umeshapita hii njia, labda uwe umepita Ile njia nyingine kutoka Terminal ukaenda town. Lazima ungepajua hapa




Nilikupitisha Ile nyingine, sio hii. Baadaye ntakupitisha hiiKwani juzi tulipitia njia gani? Au kwa vile ilikuwa usiku labda nimekonfyuzi hilo jengo![]()
Yani watoto wamevurugwa hatari..Sasa form 6 sasahivi ndio huwaambii kitu !Huyo fundi wako jamani, inabidi tum-replace sasa. Sio kwa hizo hasara
Kwa kweli jitahidi tu vijana wasipate makwazo, mitoto yenyewe hii😁😁
asante Mkuu!Umependeza sana.
Makubaliano?


