Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Hapo fresh babu yangu kipenzi😘Usijali, njoo tu Mjukuu mzuri 🤪
Hapo fresh babu yangu kipenzi😘Usijali, njoo tu Mjukuu mzuri 🤪
Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele saivi Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098Mkemia simama kidogo nione kiwalo
Utanipa zawadi gani nikipatia?Patajeeeeeeeeee
Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo...Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele saivi Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098
Litaje, zawadi ntakufikiriaUtanipa zawadi gani nikipatia?
Hilo jengo hapo kando ya barabara limekutosa....siku nyingine kuwa careful kama hutaki mabaharia tujue uliko!
mtu mwenye kitu chake specialHapo fresh babu yangu kipenzi😘
Utanifikiria?Litaje, zawadi ntakufikiria
Nope; mtu kama ni mzoefu wa hii njia obviously atapafahamu tu hapo. Mtajua tu nipo mji huu, mengineyo hadi nitake mwenyewe




Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?Sitaki makwazo Vijana wa mama ma mchungaji ni sketi na shati sketi mshazari tu ila shati hapa mbele juu Nilitaka kushona denda fundi alichoshona sasa utacheka.. Ngoja badae baridi ipungue nivue kikoti nijiselfii shati ucheke hii denda ! Hadi siwezi kuivaa bila kikoti kwa juu!View attachment 2202107






Inapendeza sana...Nimeshapewa mwongozo na msukuma nasubiria wa babu Grahams
huna undezi,hapa ndezi nakua mieNdezi tu Mie!
Uhali ganimtu mwenye kitu chake special
Msukuma Kazini sitaki shida nawatu navaa nguo zisizokwaza mtu kabisa!Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?![]()
hahahaaaInapendeza sana...
🤔🤔Hivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?![]()
binafsi nisingeelewa,ila nisingekosa kipindi chakeHivi wanafunzi wako wa kiume kweli huwa wanakuelewa ukiwafundisha na hiyo shepu yako Boss Lady?![]()
Huyo fundi wako jamani, inabidi tum-replace sasa. Sio kwa hizo hasaraSitaki makwazo Vijana wa mama ma mchungaji ni sketi na shati sketi mshazari tu ila shati hapa mbele juu Nilitaka kushona denda fundi alichoshona sasa utacheka.. Ngoja badae baridi ipungue nivue kikoti nijiselfii shati ucheke hii denda ! Hadi siwezi kuivaa bila kikoti kwa juu!View attachment 2202107
Halafu somo lake gumu. Angekuwa anafundisha Kiswahili au Civics afadhali. Sasa Kemia dah! Mi ningefeli tu kwa kwelibinafsi nisingeelewa,ila nisingekosa kipindi chake



UmeshendwaaaaaaUtanifikiria?
Hii si ni ile barabara ya kuelekea Nguzo Camp kama unatokea mjini huku?![]()
Alikuwepo mwalimu mmoja alikuwa anafundisha kiingereza asee,, alikuwa anaitwa sanga,, nyie nyie yule madam ni fayaaabinafsi nisingeelewa,ila nisingekosa kipindi chake


msemo wa zaiid "alikuwa amejaza nyuma kama contena" af alikuwa anapiga vimini af nlikuwa nakaa mbele akifika tu mie begi nalipakata maana najua muda wowote hali si hali