Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Kama dawa kweli haya msaidie babu apate kuwa fit aweze kulima vizuriHio yangu ni nzuri sana yani akinywa leo Kesho anaamka yupo fit enough!!
Kama dawa kweli haya msaidie babu apate kuwa fit aweze kulima vizuriHio yangu ni nzuri sana yani akinywa leo Kesho anaamka yupo fit enough!!
Your lips 🥰Kwa Bi mkubwa kudeka kidogo
Usijali Mjukuu, ukitoka kazini Jioni uje nikupe hela ya kununua vyote hivyo. Ila usimwambie Bibi yako please 🤪🤪🏃🏃Aku pipi uliniambia nitaoza meno, me ataka 🥂🍕 na 💵😎
Umemuonea wivu mke mwenzakoVery cute 😘!
Nipee hivyo navyotaka na hutaona nikimwambia bibiIla usimwambie Bibi yako, sawa eeh 🤪🤪
Kabisa nimeona wivu sura ivokua softiiiiiuu mie nimejaa mapele balaaUmemuonea wivu mke mwenzako
Nitakuja fastaa babu, bibi sitamwambia hata usijali😅Usijali Mjukuu, ukitoka kazini Jioni uje nikupe hela ya kununua vyote hivyo. Ila usimwambie Bibi yako please 🤪🤪🏃🏃
Likely minor hormonal changes. Vitaisha vyenyewe tu. No need to use chemicals mkemia mkuu wa serikali!Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098
Sawa Mjukuu, utanipa maelekezo ya wapi uje uchukue hivyo vitu vyako.Nipee hivyo navyotaka na hutaona nikimwambia bibi
Nkamu umekwenda "kwetu" ?Kwa Bi mkubwa kudeka kidogo
Usijali, njoo tu Mjukuu mzuri 🤪Nitakuja fastaa babu, bibi sitamwambia hata usijali😅
We niandalie tu kibunda changu cha kutosha😋
BeautifulKwa Bi mkubwa kudeka kidogo
Kumbe! Asante msukuma Yani mie sinaga rashes kabisa ila nashangaa these two months nina vipele balaa!Likely minor hormonal changes. Vitaisha!
Siyo Uyole.





Mweeeeh 😁😁😁
PatajeeeeeeeeeeSiyo Uyole.
Nitaje mahali?![]()
Dawa ya kuviondoa ninayo, ukija nitakupatia Mjukuu 🤪.Uniangalizie namna ya kuondoa Hivi vipele babu vimeaniandama kweli.. Simara ona sura yangu ivokua na mapele saivi Naomba mwongozo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!View attachment 2202098