Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Ukimtoa Mshana Jr mnafikiri nani mwingine kaumizwa sana na hili tukio?[emoji23]
View attachment 1249946
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani sura na umbo kila kitu cha shangazi jamani sijui nimemkosea nini Mungu mimiMkwe uko serious unataka aliefanana na mimi?[emoji134][emoji134][emoji134]
Shunie kafanana na shangazi yake, atakufaa sana.
Hahahhh..
Nilikuwa nakutambulisha kwa Atoto shemShemeji umeniita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndioo.Waliingia na matokeo yao kwenye kibanda umiza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana dadaaKichwa kinauma [emoji134][emoji134][emoji134] kwa kutaka huu umbea yaani umbea wa code haunibariki kabisa
Hizo couple bwana sijui I'd moja sijui nini na nini anaji cc mwenyewe
Sasa pole inasaidia nini jamaniPole sana dadaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo ukiacha ile couple iliyoanzisha huo mtindo kuna couple nyingine nayo imefuatisha huo mtindo hivi karibuni ndiyo watu wana wasiwasi kuwa ni mtu mmoja ila anajicc mwenyewe, sasa hapo kwenye kutaja majina sasa ndipo mtihani ulipo nikimtaja hapa najua kuna mtu atamuita.
Woyoooooooo πππππππππππππππππ
Sasa we unataka nini?Sasa pole inasaidia nini jamani
Ndiyo ukiacha ile couple iliyoanzisha huo mtindo kuna couple nyingine nayo imefuatisha huo mtindo hivi karibuni ndiyo watu wana wasiwasi kuwa ni mtu mmoja ila anajicc mwenyewe, sasa hapo kwenye kutaja majina sasa ndipo mtihani ulipo nikimtaja hapa najua kuna mtu atamuita.
Ngoja kwanza mbona niliona Depal amejicc mwenyeweWoyoooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sasa mdogo etu nangoja ugeuke
Hahhaha basi karma ameshanifungulia codeSasa we unataka nini?
Alpellah ππ au snickersZipi Ivori, Alpella, Dairy Milk au??
Mdogo wetu akigeuka watu watakimbizana ni vile kamfanana sana baba akeeWoyoooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sasa mdogo etu nangoja ugeuke
Jamaniii tuwekeeni sura zenu basi tuwajue sio hayo mapichapicha mnayotuwekea