Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384






Asante sana mkuu, umeniongezea kitu cha kuzingatia hapa. Checkup kwa mwaka huwa nafanya mala mbili au tatu. Hizi dawa huwa nazichukua kwa wakole wana clinic yao pia huwa nakutana hata na baadhi ya viongozi wakubwa wa hii nchi yetu.. ila umenifungua sana machoUbaya ni kwamba haziko regulated na hakuna anayejua zinakotoka wala kilichomo. Labda ukizipata kwa Wachina au Wajapan wenyewe...na kumbuka kuwa dawa yo yote inayosaidia kupunguza uzito basi ini linahusika moja kwa moja. Ndo maana haishauriwi sana kutotumia dawa hizo kiholela tu.
Na endelea na hiyo tabia ya kufanya comprehensive annual checkup. Wanaume tuko wavivu sana na mambo yakija kugundulika yanakuwa tayari yako hatua za mwisho. Ndo maana tunakufa mapema.
Mwaka juzi nilipata scare ya kufa mtu na daktari alisema kuwa nina bahati ya mtende kwa sababu ningesubiri mpaka nianze kuumwa ingekuwa game over. Ukweli ni kwamba magonjwa mengi (yakiwemo kansa) yanaweza kutibika yakigunduliwa mapema.
Wanaume tuwe na tabia ya kucheki afya zetu angalau mara moja kwa mwaka. It can save our lives![]()
SimbaMimi sema sipendi kiki kwa piki pikisimba mlishinda nasikia eeh au basi
Nilikuwa na smokeKiberiti na rafiki yake leo mbona havipo namhala?![]()
hongereni kwa kushinda AFCON simba kokoSimba
Beki haikabi
sijaona bwana.. irudiwe.. una nihujumu hata mie 😩😩Bado dakika 20🥷🏻😋View attachment 2201533
😬😬😃😃😃sijaona bwana.. irudiwe.. una nihujumu hata mie 😩😩
Sawa tu, umeanza rough za hujuma..😬😬😃😃😃
Ko ume ni dislike😬😬😬😬😬😬😬😬😬Sawa tu, umeanza rough za hujuma..
😏😏😏😏Ko ume ni dislike😬😬😬😬😬😬😬😬😬
Usisahau kuniletea na 🍷, hizo Kwa sisi Wazee zinaimarisha kumbukumbu 🤪On my way babuu!🚶♀️🚶♀️
Bosi ledi bana...Ajajajajajajajajajajajajajajja!!Utatutoa roho ujue!! Halafu vyeusi sasa ile nayo Itakua Ndefu nene nyeusi! Kelsea njoo ona hivi vidole walahi![]()







lazima Mtu akimbie na kyup mkononi msukuma!!🤣🤣🤣😂🤭Bosi ledi bana...
Halafu usisahau mwenye hivyo vidole ni Msukuma original. Anakula migagani, mayoba/mūūli, manūmbū, bugali bonkūla, michembe, mabele maboboto....Bagosha!
View attachment 2201557View attachment 2201559
