Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
tupia basi[emoji39]
tupia basi[emoji39]
Huo ugali ni wa ulezi au??Bosi ledi bana...[emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu usisahau mwenye hivyo vidole ni Msukuma original. Anakula migagani, mayoba/mūūli, manūmbū, bugali bonkūla, michembe, mabele maboboto....Bagosha![emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2201557View attachment 2201559
Usiwaze babu... vipi nikuletee now now???Usisahau kuniletea na 🍷, hizo Kwa sisi Wazee zinaimarisha kumbukumbu 🤪
utakua wa mtama nadhaniHuo ugali ni wa ulezi au??
Yummy
Mambo mtoto mzuri TinsleyYummy
Zinavutia
🙆🏾🙆🏾🙆🏾😏😏😏😏
🥸🥸🥸🥺🥺🥺🙆🏾🙆🏾🙆🏾
God is good.Poa vipi habari ya leo ?
So far so good ..God is good.
How's your day going?
TumogheleeView attachment 2201551
Mghonile Mbeya
Ngoja kesho nianze mdogo mdogo kujifunza sambusa[emoji7]
Sambusa tamu kwenye kula ila kutengeneza ni masaaNgoja kesho nianze mdogo mdogo kujifunza sambusa[emoji7]
[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Lazima anene kwa lugha[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]!! Una utani na Anne wewe!
Natamani nijue kupika maana napenda sana sambusaSambusa tamu kwenye kula ila kutengeneza ni masaa
Tuone sasa track ilivyoLeo mazoezi mnafanyia nyumbani !
View attachment 2201598