financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
MmhJinga lile
Unavyoifinyia
Unavyolia ukipigwa mbata za trakoo
Ila bhas domo zege mie
Wacha nikule kwa kuona
MmhJinga lile
Unavyoifinyia
Unavyolia ukipigwa mbata za trakoo
Ila bhas domo zege mie
Wacha nikule kwa kuona
Wapi hukoKule
😂😂😂😂Naangalia hapa pia
Selengo huyu![]()
Sasa tufanyaje wakati wenyewe wanakwambia mbususu utapewa ukiwa unahudumia au kama wewe ni handaome boy.. so kuchapiwa kupo pale paleSad generation.
We are dating people who are busy doing meet ups with other people while we still in the picture, people who are brave to sleep with someone else and come back to sleep with you. A person who will look deep in yours eyes & say I love you while they don't mean it.
Kwema vipi wewe, aah siyo kweli bana 😀Nasikiaga kuwa mwanamke mwenye tege hasa tege lililoingia ndani huwa ni wa ...... kweli kweli
Kwema lakini mkuu
Yan ule ulevi pombe ipo kichwan hata jua likiwakia tu unalewa bila kunywaMlevi mbwa?
![]()




Ooh yeah it's a funny one
Hii movie ilinichekeshaga sana..
Huyu Selengo hivi bado anaigiza?
Siku hizi huwa sifatilii.Ooh yeah it's a funny one
Ndio anaigiza huwa namuona kwa movie .
🤣 Hapo unakuwa umeingia kwenye gongo.Yan ule ulevi pombe ipo kichwan hata jua likiwakia tu unalewa bila kunywa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
FunguaWapi huko
Nipe muongozo
Ooh yeahSiku hizi huwa sifatilii.
Sema atakuwa alilia sana Kanumba alivyokufa maana jamaa walikuwa wanamatch
HayaFungua
Huyo shoga ako hakuwa mwema.. mwiko kwangu kukufundisha kitu ambacho najua sio kizuri, wewe ukiamua kukitenda ukitende kwa hulka zako.Yan mie Basi nimekaa na mlevi na nimeshindwa kunywa
Nilitolewa na rafikiyang na boyfriend wake tumefika agiza si nikaagiza soda nilichambwa sisahaunikasema mmenitoa mnifundishe ulevi nipeni tu ninywe izo soda nilipiga tatu nikabeba takeaway na Azam embe nikasema nitaamka nazo
alafu sinahabari nilinuniwa balaa sio kwa kila dakika chooni
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Anaependa pombe alafu sijui alijifunzia wapi siku ya kwanza namuona anakunywa nilistaajabu aisee naona alikuwa anatafuta kampaniHuyo shoga ako hakuwa mwema.. mwiko kwangu kukufundisha kitu ambacho najua sio kizuri, wewe ukiamua kukitenda ukitende kwa hulka zako.
Mimi nakunywa nikiamua, kama sijaamua hakuna mtu anaweza nishawishi.



Ulevi ni ulevi tuHapo unakuwa umeingia kwenye gongo.



🤣Ulevi ni ulevi tu
Kwan gongo inatofauti na konyagi au kwakuwa Ile pure
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app