Selfika na JF: Snap it. Show it

Juice huwa naweza weka, lakini beer zimenishinda, kila nikipita karibu na fridge nasikia bia zinaniita nizinywe, nikifungua kunywa maji ndio zinapiga kelele "tunywe, tunywe", dah, nimeshindwa kabisa kutunza beer.
hii kiboko Mimi nimeshindwa kunywa na siwez tena nilikuwa na bosi wangu mlevi balaa Yan ni karibia kilasiku anakunywa watu wakawa wanasema nitaonja lkn wapi na namsindikiza kabisa nimeishia Azam embe


Mnaokunywa mheshimiwe aise

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…