Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Dah! msitutendee hivyo kidogo tu jamani.. tubarikiwe 😉😉
Mjomba hebu tufanyie mambo jumamosi hii.
Dah! msitutendee hivyo kidogo tu jamani.. tubarikiwe 😉😉
Mkuu nilipoteza vitu vyote. kurudisha naona uvivu kweli kweli
Dah! Unaweza tumika kama jukwaa wakati wa ujenzi basi 😀😀😀Mie tege sina [emoji4] mguu kama ukuta
Nilitaka niseme nenoMama una tege moja matata sana [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] jamanDah! Unaweza tumika kama jukwaa wakati wa ujenzi basi 😀😀😀
[emoji28][emoji28]..kukuwekea kauzibe tena???Acha kunitilia kiwingu mwana.
Tangu lini nikawa sister ako
Usiniwekee uzibe basi..mambo yakashindwa kufunguka mbele ya safari[emoji1]
Acha kubadilisha majina kila kukichaMvua ya jua ujue simba anazaa 😎
Sema banaNilitaka niseme neno
Wacha ninyamaze
Pole snMkuu nilipoteza vitu vyote. kurudisha naona uvivu kweli kweli
Kwangu ni yeyote mwenye vigezo vya kuwa mwanaume kamili ilimradi awe anapumua[emoji28][emoji28]..kukuwekea kauzibe tena???
Kwani wewe haupo ktk like kundi la TDH (Tall,dark and handsome)?
.Nilipoona hiyo campaign hapa jf nikainua mikono juu nikasema hapa sina changu maana sina hizo sifa zote,nikasema wanawake wote wa if kuanzia leo ni dada zangu[emoji28][emoji28]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Shangazi usijali acha nitupie basi chapMjomba hebu tufanyie mambo jumamosi hii.
[emoji1787][emoji1787]..Ngoja nichangamkie hii fursa wallahKwangu ni yeyote mwenye vigezo vya kuwa mwanaume kamili ilimradi awe anapumua
Ushachelewa[emoji1787][emoji1787]..Ngoja nichangamkie hii fursa wallah
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Shangazi usijali acha nitupie basi chapMjomba hebu tufanyie mambo jumamosi hii.
Alafu ulipotelea wapi?😀 😀 😀 😀 😀
Shangazi usijali acha nitupie basi chap
Nilitaka niseme neno
Wacha ninyamaze
Nikiweka na huu mguu mwingine..Oooops!!