1. Mungu anawaza nini juu yako
2. Roho nzuri zinawaza nini juu yako
3. Baraza la mbinguni lina jadiri nini juu yako
4. Mbingu zimeamua nini juu yako
5. Mbingu zinafanya nini juu yako
6. Shetani anawaza nini juu yako
7. Roho mbaya zinakuwazia nini
8. Mabaraza ya kipepo yanakuwazia nini
9. Nani mwenye nguvu zaidi juu ya hatma yako ya maisha yako
10. Pesa zinakuwazia nini
11. Mchanga na ardhi vina taarifa gani kuhusu wewe
12. Bahari na viumbe vyake vinajua nini kuhusu wewe
13. Mbingu na angala lake zinazungumza nini juu yako
14. Pepo nne nazo zina taarifa gani kuhusu wewe
15. jua, mwezi na nyota zina taarifa zako zipi
16. Mavazi uliyovaa yamebeba nini
18. Ardhi unayo ishi inasema nini juu yako, imekukubali au imekukataa
19. Miamba, Milima, Vilima , mimea majani vinakutambua ?
20. Thamani zilizo chini ya dunia hii zinaelewa lugha yako au zinakutambua ?
21. Nini chanzo cha nguvu zako?
22. Nguvu ulizo nazo zinaweza kukufikisha kwenye hatma yako ?
23. kati ya nguvu ya mauti na nguvu ya uzima ipi ime dormate ndani yako ?
24. damu yako ina taarifa gani ?
25. Malaika aliebeba hatma hatma yako kalaanika au yupo active ?
26. Malaika wako yupo huru au yupo kifungoni ?
27. Jina lako lipo hai au limekufa
28. Jina lako ni safi au chafu
dah[emoji3525][emoji3525]
Heaven Sent