Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
🤣🤣🤣🤣Ah wapi...tunaona kabisa hapa mrembo portable, mrembo carriable kabisa.
Wee ni wale ambo ukivaaa dress amazing mwanaume anatamani just to lift u up jinsi ulivyo portable
Ila siunajua kuna app za kujipunguza na kujiongeza siku hizi ehhhh??🤓








