Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Hahaha Wengine kuvaa suruali za jeans wamejifunzia kuzivaa chuo tena mwaka wa mwisho..



Hahaha Wengine kuvaa suruali za jeans wamejifunzia kuzivaa chuo tena mwaka wa mwisho..



Wengi hawana.. hawatakagi heka hekaUzuri wa hawa wengi hawana madrama
Tena wengiiiiKuna wanaotupenda hivi hivi




Uwepo wao ni wa muhimu sana ujue![]()
Hahaha Wengine kuvaa suruali za jeans wamejifunzia kuzivaa chuo tena mwaka wa mwisho..
Wanaringa kama nini ukute na hela ipo sasa hakuna rangi utaacha ona.Wale TDH (Tall dark and handsome)wanaringa sana...
Helow![]()
Wanaringa kama nini ukute na hela ipo sasa hakuna rangi utaacha ona.
Mbona umetupostia kiuno Mzee Baba? Au wewe ni fally ipupa?
Wanajikuta wale, yani ikitokea umepigwa tukio linakua tukio kweli kweli 😀😀Wale TDH (Tall dark and handsome)wanaringa sana...
Hahahaah nimecheka kwa nguvu ujue 🤣🤣Unaenda nao taratibu tu,hawana shida...
Wanajikuta wale, yani ikitokea umepigwa tukio linakua tukio kweli kweli
Yaani Unatamani hadi uwasimulie abiria ukiwa kwenye daladala![]()


Mbona umetupostia kiuno Mzee Baba? Au wewe ni fally ipupa?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


Ungeniita nije tunywe wote,unakubali vp kupigwa na baridi wakati Mimi nipo Mrembo?Na baridi yote hii ya daslmu lakini bado ninapambana
View attachment 2196818
Shehe wangu usiku huu unakunywa kahawa,unataka ukeshe?
Nilikuwa natumia hizi mambo lkn zikanishinda,Mimi ni mvivu wa kuinua mavyuma,Ila push up Niko vizuri,hata mkono mmoja Kama jet li napigaFellas, must have these and use them. Gotta service your body on a regular, man.
View attachment 2196662
..Ingawa push up zinachelewesha mwili kukaa vizuri Ila one day yes!!