Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Mganga hajigangiMbona mimi sina sifa hata moja hapo...
Pia kinyozi hajinyoi
Mganga hajigangiMbona mimi sina sifa hata moja hapo...
Umenikumbusha fundi samweli hapaa 😊 😊Ngoja niwe fundi kwanza...
Umenikumbusha fundi samweli hapaa![]()
![]()
Anae toa ushindi ni Judge au mshindani.. Shangazii tegeee waueee 😎😎😎Mbona mimi sina sifa hata moja hapo...
Anae toa ushindi ni Judge au mshindani.. Shangazii tegeee waueee 😎😎😎


tege liheshimiwee.. kabisaaa lina nyota tanoo...Basi mimi nawaachia mpambano![]()
ulivyotaja tu fundi akili ika click fundi samweliHalafu yule mzungu alikua na sauti sijui kafia wapi?
Unakutana na Torque 5000Pulling kwenye mtanange
Mpo vema sana
Dunia yote yakoUnakutana na Torque 5000
Nitatupia midamida shangazi usiwaze!Mbona leo sioni ukitupia...

SiKama ka utege ka naniii hatari sana, 😎 😎 😎

Pole, leo weekend jitoe out usikae kinyonge .Kwetu hali ni mbaya, mvua na baridi..plus loneliness![]()
Nitatupia midamida shangazi usiwaze!![]()
Embu nipe list ya hivyo viondoa stress nione kwanza japo sidanganyiki😁😁Vipo viondoa stress bwana.. 😎 😎
trading wadada kama wewe mnafanikiwa sana..
Nipost za wakati unashuka au umesimama
Mkianza maandamano uniambie na mimi nije kuthibitisha kuwa ni batili 😄kwani wewe sio pisi kali ... niitishe maandamano kutokea mwenge hadi posta