Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
KumbeeeNathaminisha vidole

Ungenishtua pale ndo ningeamini
Mimi ni tomaso.
Au let's meet up halafu iwe crowded place then nisikuambie mimi niko wapi .. unitafute weh mpaka unione .



Woyo woyooo woyooooUsicheze huo mchezo,, kama ni kamali utaliwa


Hebu tuvione rafikiSasa vyangu
Ni noma

KumbeLight bearers
Naam

He's gudAsante kwa kuniitia moyo rafiki
Mzee kumbe yupo vizuri kwenye uimbaji
Nimekosa tu mazoezi mimi
Kumbe
English
Ina english mwenzie
Wananionea sana

Halafu wote wasabatoThank you
Nahisi atanisema tu ... Walivyo na hasira wale walimu .
If only I could stick in single pitch .. ningekuwa muimbaji .
UsiachieAf hata sio sana ukijikita kwenye mezzo-soprano,, hutapata shida,, sio wakali,, ungekuwa unasali na mzee wangu kanisa moja angekuwa mwalimu mzuri sana


Ooh vyema .He's gud
TuvioneSasa vyangu
Ni noma
Deal na GregHebu tuvione rafiki![]()
Aisee umengangania hapoHalafu wote wasabato
Usiachie fursa


Nadeal na wewe kwanzaDeal na Greg
Lazima tuleNimeshikiliaaa

