AmenOoh vyema .
Basi ndo maana upo vizuri kwenye uimbaji ..
Mzee wangu alikuwa shemasi mkuu then baadae amekuwa Mzee wa kanisa hadi sasa amestaafu hapo uzeeni .
Mie ni pepo
Si umeona mkeka
Ulivyonichanikia kwa Anne

Mkuu kumbe na wewe unapitaga hukuAisee za uzima wako lakini, long time sijakanyaga humu!
Uzima upo rafiki, na ulipotea sijui nani anakuficha nipambane naeAisee za uzima wako lakini, long time sijakanyaga humu!
Huyu itabidi tuombe location siku tunamuibukia huko hukoUmetuchinjia baharini eeh?![]()

😋😋😋
🤗🤗🤗🤗🤗🙃🙃🙃
🥰🥰
Umegoma kunipa location unakofanyia mazoezi🤗🤗🤗🤗🤗🙃🙃🙃
Huyu itabidi tuombe location siku tunamuibukia huko huko![]()


Tukutane ground kesho saa 17.00 !Bila kuchelewa🤣🤣🤣Umegoma kunipa location unakofanyia mazoezi
Nipatie live locationTukutane ground kesho saa 17.00 !Bila kuchelewa🤣🤣🤣
Mchumba nimejikita kwenye bukta ya manure na mikono ilivyo waiti.
Ndio uolewe sasaJumapili inanoga mbona harusi ikifanyika ..
Mnawahi mapema tu reception na Mc ajue kubalance muda ..
