Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..
 
Na ukae kwa kutulia kwerikweri
 
Kabisaa, me nashangaaga, mdada akichelewa kuolewa, ooh alikua anachagua sana, ooh alikua anadanga etc etc.. hivi wanajua upande wa pili ni vitu gani huwa vinaendelea kweli ?? Wanawake tunavumilia sana sanaa basi tu..
Msiwe mnatukataa

Na sisi sura za wajenzi

Halafu mimi

Domo zege

Najaribu jaribu
 
Haki

Unafanya tu

Kumuonyesha picha

Yule wa vigezo vyako

Kwamba

Napiga chini huyu

Fasta jamaa anatangaza ndoa
Hivi Jua kali ni nzuri eehh! Yani mimi drama za kiswahili naangalia huba tu...za mbele ndio napenda mnooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…