Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu niliona kama ana mimba,nilivyoona ile tradition attire ina corset nikabaki njia panda..
Kwenye burial service ya mama mkwe wake; wambea tulisema ana mimba, hata Ile loose dress yake ya bridal shower; ndiyo tukapiga tiki kabisa. Sasa zile corsets zake kwa kweli katufuruga wambea😁😁. Mungu akampe haja ya moyo wake.

 

Ila kuna angle akikaa anakua na kitumbo,sasa sielewi...

Wambea tusubiri miezi tisa
 
Wakala wa kwanza dunia kufanya miamala ya fedha alifanya na YUDA ESCARIOT
 
Kweli mlikuwa serious. Vijana wa kileo baada ya mimba wangekimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…