Selfika na JF: Snap it. Show it

With such a big call; Mtumishi wa Mungu ilikuwaje akachagua mwanamke wa aina hiyo hata kama ke alifake kuwa mwema? Ila Watumishi nao wana mapito jamani, Mungu awasaidie
 
Nakemea na napinga vikali hoja hii Mimi ni mtumishi wa jehova sinaga mambo ya dunia!. Kama ameshindwa kukutongoza asituseme wengine akirogwa aje aanze kusema kimeenda kimerudi!.
Mtumishi wa Jehova
 
So sad
🤣🤣🤣🤣
 
Ni mkorofi ana fujo zake lakini tulimuonea huruma kiukweli!! Inafikia wakati mmetoka kazini mnaongozana kwako tu anakaaa weee anaangalia Muvi ikikaribia Usiku ndio anawaza Kurudi kwake kwenye balaa!
Au weekend ilifikia wakati anatoka kwake asubuhiiiii anabadilisha tu vituo akichoka kwa huyu anaenda kwa yule kupiga story kumaliza weekend masaa yaende!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…